» » » Diamond Afanya Matusi: Amkabidhi Zawadi ya Gari Mwanamuziki Mkongwe Kutoka Msondo Ngoma Mzee Muhidini Gurumo.





Diamond Platnumz usiku huu afanya ufunguzi wa video yake mpya katika hoteli ya Serena na kumpatia zawadi ya gari mstaafu wa msondo ngoma Mzee Muhidini Gurumo



Mzee Gurumo akiwa kwenye gari lake alilozawadiwa na Diamond Platnumz

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply