Habari kwa Ufupi :

    3:00 P
» » » Lady Jaydee, Amini na Barnaba (Gemini) kuusindikiza uzinduzi wa movie ya Lulu ‘Foolish Age’

Lady Jaydee na Machozi Band pamoja na wasanii wa kundi la Gemini, Amini na Barnaba wanatarajia kutumbuiza kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya Elizabeth ‘Lulu’ Michael iitwayo Foolish Age.
BSKx8aZCMAEHOSL.jpg large
Uzinduzi huo utafanyika Ijumaa ya August 30 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Wema Sepetu Time: kuwatambulisha wasanii wake Jumapili hii, Bilicanas
»
Previous
Picha: PICHA ZA BEHIND THE SCENE YA VIDEO MPYA YA T.I.D -RAHA

No comments:

Leave a Reply