» » » » Madonna ni Mtu Maarufu na Anayeingiza Kipato Kikubwa Spielberg amfunika Winfrey: Forbes



Mwanamuziki mkongwe wa kike wa  miondoko ya pop Madonna ametajwa kua ndio mtu maarufu mwenye kipato kikubwa kwenye jarida maarufu la forbes lililochapishwa jumatatu, Inakadiriwa kuwa mwana mama huyo ameingiza kiasi cha dolla million 125 mwaka jana, na kumpita Director wa sinema ya Lincoln Bwana Steven Spielberg mwenye kiasi cha dolla million 100.


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply