Habari kwa Ufupi :

» » » Picha: Swahili Radio ya Washington DC kuanza kusikika hewani hivi karibuni




Swahili Radio, ni radio iliyoanzishwa jijini Washington DC, Marekani na kampuni ya, MMK Media Group.


Alex Kussuwi akiwa studio kuangalia hatua radio ilipofikia


Alex na Dickson Mkama

Radio hiyo pamoja na TV zote za online bado zipo kwenye majaribio na zitaenda hewani muda wa majaribio utakapomalizika.
MMK Media Group inamilikiwa na Alex Kassuwi, Augustino Malinda na Dickson Mkama DMK.

















Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Chidi Benz akiri alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa miaka mingi, ametumia zaidi ya tsh mil. 15 kutibiwa Nairobi
»
Previous
Oprah Winfrey aiomba msamaha Switzerland kwa kuihusisha na ubaguzi wa rangi

No comments:

Leave a Reply