» » ADAMU NGANGE AMTWANGA KWA K,O ISSA MATUMLA





Bondia Adamu Ngange kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Issa Matumla wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa Kilimahewa uliopo Chanika Kigogo Fresh Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya pili Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com



Bondia Adamu Ngange kwenye uringo akikaa pembeni baada ya kumwangusha chini Issa Matumla pembeni(P.T)




Refarii Saidi Chaku kulia akimpa huduma ya kwanza bondia Issa Matumla baada ya kugalagazwa kwa ngumi na bondia Adamu Ngange



Bondia Antony Mathias kulia akimpiga ngumi mfululizo bondia Ismail Ninja wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa kilimahewa chanika Kigogo Mathias alishinda kwa K,O Fresh Dar es salaam picha na www.superdboxingcopach.blogspot.com



Bondia Antony Mathias AKIWA AMEBEBWA JUU JUU BAADA YA KUPATA USHINDI KWA k,O



MDAU WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI hALIMA kAUBANIKA AKIFATILIA MPAMBANO HUO

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha: Updates: Westgate Attack: Shuhuda asema watekaji wanawaachia waislamu tu
»
Previous
Picha: French Magazine: Flaviana Matata atokea katika cover ya jarida la Ufaransa

No comments:

Leave a Reply