» » BAADA YA KUMPIGA BONDIA KUTOKA AMERICA CHEKA ATINGA NA BUNGENI DODOMA




Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda katikati akiwa na mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Fransic Cheka wakati walipo tembelea bungeni Dodoma kwa ajili ya kutambua mchango wao na kuwapongeza.


Waziri wa Wizara ya Habari ,Vijana,utamauni na michezo, Dkt,Fenela Mukangala wa pili kushoto akiwa na Rais wa TPBO Yassini Abdala pamoja na mapromota Mohamedi Bawazir kulia na Catherini Matili.



Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda wanne kushoto akiwa na bingwa wa dunia wa mchezo wa masumbwi nchini Fransic Cheka baada ya kukaribishwa bungeni mjini Dodoma wengine kushoto Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' na bingwa wa mabara Fransic Miyeyusho kulia ni promota wa mchezo wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri, na promota wa mpambano wa ubingwa wa Dunia ambao cheka anao kwa sasa Catherini Matili .

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply