Mwigizaji mkongwe nchini Issa Mussa maarufu kama Cloud 112 amesema kuwa anaandaa Filamu yake mpya itakayowashirikisha mastaa Zaidi ya 80 GPL wameripoti.
Akizungumza alipokuwa saluni akinyoa, Clouds ambaye anasumbuliwa na maradhi ya moyo kwa sasa amesema kuwa lengo lake ni kukuza vipaji vya wasanii wanaochipukia na amesema kuwa mpaka sasa ameshaajili Zaidi ya waigizaji wanaochipukia 200 katika kazi zake mbalimbali na pia amewataka wasanii wengine wasaidie kukuza vipaji vya wasanii wachanga wanaochipukia.
No comments: