Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM F
» » Hii Kali.... Msichana wa Brazil ameza simu yake ya mkononi ili kumzuia mpenzi wake asisome ‘message’ zake


Wivu, uaminifu au chochote unachoweza kufikiria, kimemsababisha msichana mwenye miaka 19 kutoka Brazil Adriana Andrade kuimeza simu yake ya mkononi kama njia ya kumzuia boyfriend wake asisome ‘message’ katika simu yake.
Adriana
Mtandao wa Hispania Yipeta umeripoti kuwa baada ya tukio hilo msichana huyo alilazimika kufanyiwa upasuaji ili kutolewa simu hiyo tumboni mwake.
Tazama video

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Video: Jacky Cliff amzungumzia kiasi anachochaji kutokea kwenye video na uhusiano
»
Previous
Official Video Diamond Plutnumz - Number 1

No comments:

Leave a Reply