» » » * LOOK : Hemed Suleiman na Jackline Wolper ndio wasanii wa Bongo Movie wenye muonekano waki-staa



Mtangazaji wa kipindi cha Take One cha Clouds TV Zamaradi Mketema aliendesha shindano la wasanii wa bongo Movie wenye muonekano wa kistaa ‘STAR LOOK’.

Hemed Suleiman pamoja na Jackline Wolper aka Wolper Gambe ndio wameibuka washindi wa shindano hilo. Hiki ndicho Zamaradi ameandika katika akaunti yake ya Intagram


“Na hawa ndio walioibuka na kura nyingi kwenye shindano la STAR LOOK lililokuwa likiendeshwa kupitia TAKE ONE ya clouds TV pamoja na segment ya MOVIE LEO kupitia leo tena ya CLOUDS FM…. KURA YAKO ndio imewezesha kupatikana kwa mshindi… na mshindi alikuwa akitakiwa mmoja tu kwa upande wa wasichana na wavulana… KUMBUKA!!!! hili ni shindano lilikokuwa likitafuta ni msanii gani wa filamu mwenye MUONEKANO WA KISTAR bila kujali uigizaji wake, umaarufu wake, ukongwe wake, upole wake, nidhamu yake wala chochote kingine… ila MUONEKANO WAKE tu. Zaidi the way anavyojiweka, the way anavyotokea sehemu mbalimbali, uvaaji wake na jinsi alivyo kwa ujumla… hivyo kutokana na kura zilizopigwa waliotajwa kuwa na STAR LOOK ni wengi kutokana na vigezo tofautitofauti ambavyo watu walikuwa wakivitaja.. lakini kura zilizidi zaidi kwa HEMED SULEIMAN kwa upande wa wavulana na JACKLINE WOLPER kwa upande wa wasichana… hivyo napenda kuchukua nafasi hii kuwatangaza hao kama WASHINDI RASMI wa star look competition, CONGRATULATIONS..”


Hemed Suleiman
















Jackline Wolper













Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply