Filamu mpya za kibongo ambazo unaweza kuanza kuziona soon.
Madame ni filamu aliyoigiza Wema Sepetu na wakali wengi kama Simon Mwapagata aka Rado, Deogratius Shija, Sudi Ally na Maulid Ally.
Fans of Death ni filamu mpya ya Vincent Kigosi aka Ray aliyoigiza na hitmaker wa Don’t Let Me Go, Najma pamoja na Slim Omar.
No comments: