Wiki hii Picha za Nicki Minaj zikimwonesha akiwa kavaa kikoti ambacho kiliacha maziwa yake nje zilisambaa katika mitandao mbalimbali na kufanya watu wajiulize kama ilikuwa ni bahati mbaya kuvaa vile au alifanya makusudi kama tulivyomzoea.
Picha hizo pia Minaj mwenyewe alizishare Instagram kumaanisha haikuwa bahati mbaya, lakini kupitia kipindi cha Ellen Nicki amethibitisha kuwa hapendi kuvaa nguo ya kuhifadhi kifua chake (bra) na kuziita nguo hizo ‘devil’.
Tazama clip fupi ya Interview yake na Ellen
No comments: