Habari kwa Ufupi :

» » » » PICHA: REDD'S MISS TANZANIA 2013 NI HAPPINESS WATIMANYWA





R
edd’s miss Tanzania 2013 mrembo Happiness Enock Watimanywa toka mkoani Dodoma akiwa na washindi wa wenzake wa shindano la Redd’s miss Tanzania mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi kwenye shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani Cituy jijini Dar Es Salaam,Kulia ni mshindi wa Pili Latifa Mohamed toka kanda ya Temeke na kushoto ni mshindi wa tatu Clara Bayo toka kanda ya Temeke


Mkurugenzi wa masoko wa Tbl Kushilla Thomas akimkabidhi funguo za gari mshindi wa shindano la Red’s miss Tanzania 2013 mrembo Happiness Enock Watimanywa toka mkoani Dodoma mara baaada ya kunyakua tajio hilo na kuwashinda washiriki wenzake 29 toka mikoa mbalimbali ambapo pamoja na gari lakini pia amepata kiasi cha shilingi milioni nane























Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha Updates: Idadi ya watu waliouawa kufuatia shambulio la kigaidi la Westgate, Kenya yafikia 69 na Picha za Jinsi Hali Ilivyokuwa
»
Previous
MASHABIKI WAFANYA VURUGU KATIKA MCHEZO BAINA YA BESIKTAS NA GALATASARAY

No comments:

Leave a Reply