Habari kwa Ufupi :

» » MASHABIKI WAFANYA VURUGU KATIKA MCHEZO BAINA YA BESIKTAS NA GALATASARAY




Huko Uturuki katika jiji la Instanbul yametokea machafuko kwenye Instanbul Derby kati ya Besiktas na Galatasaray. Machafuko hayo yalikuja baada mchezaji Melo kupewa red card mida ya lala salama, wakati hayo yakitokea Drogba alishapiga goli zake 2 mapemaa...toka dk. 75 huku matokeo ikiwa ni 2-1.




Mechi ilivunjika hapohapo huku wachezaji wakikimbilia kwenye vyumba ili kuweza kuokoa maisha yao baada ya mashabiki kuvamia uwanja.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
PICHA: REDD'S MISS TANZANIA 2013 NI HAPPINESS WATIMANYWA
»
Previous
Video: Khali Ilivyokuwa Pindi Magaidi Walipovamia Mall ya Westgate - Nairobi Kenya

No comments:

Leave a Reply