The Greatest niko makini sana na kazi yangu na huwa sipendi kabisa masihara kazini.....
CANON HD CAMERAS
Jack Wolpel na Gabo wakiwa kwenye mazoezi ya kupitia scrip kwa umakini mkubwa...
Tunaitaji kufanya mabadiliko makubwa sana katika tasnia hii yetu ya filamu kwa kufanya kazi zetu zenye utofauti mkubwa.. Kuanzia kwenye picha na vinginevyo vingi tu inabidi kuvifanya...
Cameraman wangu Razak Ford akiwa kazini akipiga mzigo....
On Set......
The Greatets nikiakiki picha kwenye Monitor yangu...
Vijana kazini...
No comments: