Show ya Ommy Dimpoz iliyokuwa imepewa jina Tupogo Night jana usiku na kufanyika Club Billicanas ilifana na watu walijitokeza kwa wingi. Ommy alisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo AY na Mwana FA na J-Martins.

Ommy Dimpoz akishikana mkono na shabiki

Ommy akicheza na shabiki wa kike aliyeshinda kujizuia na kupanda stejini

Shabiki akimwaga radhi kwa Ommy Dimpoz

Mrembo mwingine aliyeshindwa kuizuia furaha yake

J-Martins na Ommy Dimpoz wakiimba hit single yao, Tupogo

J-Martins akimpigia makofi King Maluu alipo kuwa akifanya yake
J-Martins akiwa back stage akiangalia show ya AY na FA kwa furaha”
J -Martins na Ommy Dimpoz wakiwa stejini
King Maluu akiingia stejini
Mabaunsa walipata kazi sana kuwazuia wadada wasipande stejini
Mwana FA akiwapa Burudani mashabiki wake
Nyomi sanaaa
Steve Nyerere akiwakaribisha AY na FA stejin
Steve Nyerere aliyekuwa ndo MC wa show akimsindikiza Christian Bella
Warembo walijitokeza kwa wingi sana
Watu walijitokeza vya kutosha
Alawi Junior akiwa stejini
AY na FA katika pozi

AY na Lamar

Chid Benz

Christian Bella akiwa stejini akifanya yake

Christian Bella alipata shangwe za kutosha

Christian Bella na ndugu yake

Ilikuwa hatari sana, mashabiki walishindwa kujizuia na kupanda stejini na Ommy Dimpoz

J-Martins akishangaa Ommy Dimpoz anavyocheza na Madansa wake

J-Martins akiimba Tupogo kwa hisia kali

Image Credit via: Bongo5
No comments: