Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM
» » » BEHIND THE SCENE: SUGUA GAGA YA SHAA NA DIRECTOR ADAM JUMA YAFANYIKA MAGOMENI... KAA TAYARI KWA VIDEO...

Kaa Tayari kuona vituko na sherehe za uswazi jinsi zilivyo kwenye video mpya ya Shaa, Sugua Gaga. Shaa ambaye kwa sasa yupo chini ya usimamizi wa kampuni ya Mkubwa na Wanae ya Said Fela, ameshoot video ya wimbo huo maeneo ya Magomeni jijini Dar es Salaam,wakati Muongozaji wa video hiyo ni Adam Juma.

 
Tazama picha 14 za uchukuaji wa video hiyo

















Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Pele kutoka Brazil azindua kitabu chake alichokipa jina la idadi ya magoli aliyofunga ’1283’
»
Previous
WADAU WABARIKI NDOA YA WEMA SEPETU, DIAMOND

No comments:

Leave a Reply