» » » Haya ndiyo aliyoongea lulu kutoka moyoni mwake kupitia Instagram yanamuhusu Jokate





Ikiwa ni kwa wasanii wachache sana wenye mapenzi ya kweli kwa wenzie Lulu Michael aonyesha upendo wa dhati na kumwaga sifa kedekede  mwanadada Jokate Mwegelo. Kupitia akaunti yake ya instagram Lulu Michael au Hotlulumichael  au Elizabeth Michael aaamua kumwaga yake . 


Tazama hapo





Na hizi ndizo Comment alizozipata kutoka kwenye picha iyo ya Jokate




ja1cwtkwan yy wema hajamuonaaa????
benadetaHata Lulu ana kidoti Jamani pale juu kwa paji la uso thi ndio baby@hotlulumichael
shaxsbNice lips baby.
trshymimi1Classy kidoti
marry149Lov u more
sb123321Beautiful gal
gynaahMashallaah
clickngomakalibongouko sawa kusema urembo uliouona kwa mwenzako @hotlulumichael
mamuumosesMm nakukubali sana tu ww cutee
jeancmudiloNapenda pic yako beautul gal...unajitaidi kujiweka sawa...god
afsamosiShe is hot
bawilidapo amependeza saidi
emmyma10wema k2 gan k2 #jojo chezea...jojo mzuri km ww #lulu wangu! luv yu sanaaaa@hotlulumichael
mackii5Wema mkalu
sinaihamisiCheni kweli au unatuzuga wema


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply