» » » Q-Chilla kuizindua video ya ‘Beautiful’ Club Billicanas Leo Jumapili

Kipindi cha Kwetu Flava cha Magic FM, Jumapili hii kitasimamia uzinduzi wa video ya wimbo mpya wa Q-Chilla, Beautiful. Uzinduzi huo utafanyika Club Billicanas ambapo Chilla atapewa support na wasanii kibao wakiwemo, Big Jahman, Makamua, Dudubata, Akili The Brain, Sam wa Ukweli na Baby Madaha.



Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply