» » PICHA: RAIS KIKWETE ALIVYYONDOKA ADDIS ABABA BAADA YA KUHUDHURIA KIKAO CHA VIONGOZI WA UMOJA WA AFRIKA




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 2013


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Afisa MWandamizi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia Bw. Nsavike Ndatta baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 2013 (P.T)



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Waziri wa Sheria na Katika Mhe. Mathias Chikawe na Balozo wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 2013


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole baada ya viongozi hao kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia Oktoba 12, 2013


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole baada ya viongozi hao kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia Oktoba 12, 2013

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply