Wimbo umeandikwa na Gosby, Vanessa Mdee na Hermy B. Hermy amesema beat ya wimbo huu imefanywa na Randy wa B’Hits Kenya.
"Pancho ndio amerekodi vocals, then Gosby na Pancho tukakaa kufanya mixing pamoja na tukaongeza some more sythetic sounds kwenye wimbo wote. It took us months.”
Kuwa wa kwanza kusikiliza Ngoma Mpya kutoka kwa Gosby...
No comments: