» » » Picha: Peter wa P Square Akiwa na Mtoto wake"Cameron"


Peter Okeye anayekamilisha kundi zima la P Square Hivi karibuni Alisheherekea Siku ya Kuzaliwa kwa Mtoto wake wa Kiume anayeitwa Cameron uko kwa Nigeria , katika kusheherekea Birthday iyo ya mwanae Peter aliamua Kupost Picha hizi Kupitia Mtandao wa Instagram na moja ya Caption alizoandika ni "Now thinking of what to get him 2moro... Any ideas?" na Hii ilifuata "Ma Boy is 5 today... Yaayyy! Happy Bday son."

Zicheki Picha hizi hapa chini...






Cameron




Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
WAREMBO FAHAMU WANAUME WANAPENDA WANAWAKE WA AINA GANI HAPA..
»
Previous
P-Square wakanusha kutoa wimbo mpya ‘Something About You’ Wamsaka Muimabaji

No comments:

Leave a Reply