Habari kwa Ufupi :

» » » P-Square wakanusha kutoa wimbo mpya ‘Something About You’ Wamsaka Muimabaji



Baada ya siku chache tangu wimbo mpya unaonekana kuwa wa kundi la P-Square kusambaa mtandaoni na mashabiki kuupenda, wasanii hao wamekanusha kuwa sio wimbo wao.







Wimbo huo ambao ni kweli una sauti kama zao, unaitwa Something About You. Pacha wa kundi hilo ambalo litakuja kutumbuiza nchini mwezi ujao, Peter Okoye amekuwa akiwaeleza mashabiki wengi wanaomuuliza kuhusu wimbo huo kuwa sio wao.







Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha: Peter wa P Square Akiwa na Mtoto wake"Cameron"
»
Previous
MADAWA YA KULEVYA NA WASANII WA BONGO FLAVOUR...RAPPER YOUND DEE AFUNGUKA

No comments:

Leave a Reply