Kama wewe ni mfanyabiashara au ni mtu wa kusafiri sana na katika shughuli zako unatumia sana dola za Marekani usije kushangaa kukutana na noti tofauti ya $ 100 sababu kuanzia jana Jumanne (October 9) Marekani imeanza kutumika noti mpya ya dola 100.
Hii ndio noti mpya ya $100 kwa mbele
Kwa nyuma
Maafisa wa serikali ya Marekani wamesema noti mpya za $ 100 zimetengenezwa maalum kukabiliana na ongezeko la noti bandia, lakini wameongeza kuwa noti za sasa zilizo katika mzunguko bado zitaendelea kutumika.
Via:Voa
No comments: