» » RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA PAKSTANI NCHINI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Pakistan nchini Mhe Tajammul Altac aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Pakistan nchini Mhe Tajammul Altac aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 26, 2013 kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kufanya kazi.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply