Habari kwa Ufupi :

» » » RAMA DEE NA MKEWE WATARAJIA KUPATA MTOTO WA PILI BAADA YA ABIGAL

Mkali wa RnB nchini, Rame Dee ambaye kwa sasa anaishi na familia yake nchini Australia, ametangaza kuwa, mke wake, ni mjamzito na wanategema kupata mtoto wa pili.


Rama Dee na mke wakeMuimbaji huyo wa ‘Sio Waoaji’ ametoa tangazo hilo kwenye Twitter:








Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
PICHA: BILIONEA KUTOKA UK , RICHARD BRANSON AZINDUA KIOTA CHAKE CHA KIFAHARI NA GARAMA "MAHALI MZURI" MASSAI MARO
»
Previous
H.BABA KUFANYA COLLABO NA FALL IPUPA MWEZI NOVEMBER

No comments:

Leave a Reply