ROMA MKATOLIKI KUACHIA RASMI VIDEO YA WIMBO WAKE WA 2030 NOVEMBER 1 Unknown Tuesday, October 29, 2013 0 No comments Video ya wimbo wa Roma Mkatoliki, 2030 inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki inatarajiwa kutoka Novemba 1 mwaka huu. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa muongozaji na mtayarishaji wa video hiyo, Nisher. Share !
No comments: