Habari kwa Ufupi :

» » » H.BABA AMSIFIA MKE WAKE FLORA, ASEMA ANAZIDI KUWA MREMBO..KUTOA FILAMU

Msanii wa muziki na filamu nchini H.Baba amesema anawashangaa wale wenye imani kuwa mwanamke akizaa huchoka. Amesema mke wake amekuwa mrembo zaidi baada ya kujifungua miezi mitatu iliyopita kiasi ambacho amejikuta akimtamani zaidi.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
NEW VIDEO: MIRROR - BABY [OFFICIAL VIDEO]
»
Previous
MAGAZETINI LEO JUMANNE YA TAREHE 26/11/2013

No comments:

Leave a Reply