Habari kwa Ufupi :

    3:
» » KAMA KUNA WANAWAKE WANAO TAKA KUZAA NA MIMI WAJITOKEZE"BABA KANUMBA"

BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kusekwa amefunguka kuwa baada ya kutangaza kuwa wanawake wanaotaka uzao wake wajitokeze azae nao, wamejitokeza kumi lakini akawapa masharti, yakawashinda.



Akizungumza na mwandishi wetu, baba Kanumba aliweka bayana kuwa warembo hao waliojitokeza aliwapa sharti la kwenda kupima Ukimwi lakini ajabu wote waliingia mitini.

“Wamejitokeza vizuri lakini nashangaa wote wamekuwa wazito katika suala la kupima Ukimwi wameingia mitini, kama wapo wengine watakaolimudu sharti hilo, nawakaribisha,” alisema baba Kanumba

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
PICHA ULIZOZIMIC KUTOKA INSTAGRAM
»
Previous
DIAMOND "PICHA ZA ZOEZI LA KUWAFANYIA INTERVIEW WALE WALIOTUMA MAOMBI YA KAZI"

No comments:

Leave a Reply