
Prezzo akiwa na mpenzi wake mpya
Uhusiano huo ukazusha beef kati yake na aliyekuwa mmoja wa wawakilishi wa Big Brother Africa mwaka huu, Huddah Monroe lililopelekea vita vya maneno kwenye Twitter kati ya warembo hao. Na sasa Prezzo amepata mrembo mpya. Anaitwa Starlisha Tillya aka Chagga Barbie. Ni mchaga na anaishi nchini Marekani. Ni binamu yake yake na marehemu Vivian Tillya.
Kwenye profile yake ya Instagram, mrembo huyo ameandika: Am His First Lady My Life My Choices…My Ways, My Mistakes My Lessons Not Ur Business!!!Team #Rapcellecy #254 #LimitedEditionChic #FirstLady #Prestar #CatMummy


Picha zaidi za mrembo huyo

Picha zaidi za mrembo huyo

Picha zaidi za mrembo huyo
No comments: