PICHA YA ALIYEKUA MPENZI WA MHUSIKA WA MAUAJI YA ILALA BOMA Unknown Thursday, November 21, 2013 0 No comments Sababu za Mauaji hayo inasemekana ni Kisasi cha Mapenzi baada ya Muuaji Anayejulikana kwa Jina la Gabriel Munnis Kuachwa na Mchumba wake wa Muda mrefu (Christina) ambae pia alimsomesha. Share !
No comments: