Wakati Tanzania ikiingia katika siku 3 za maombolezo na bendera zote kupepea nusu mlingoti, Katika khali ya kueshimu na kumuenzi Nelson Mandela,
Katika taarifa yake kwa watu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, alisema kuwa Mandela amewaaga lakini yuko mahali salama.
Mnamo mwaka 2005, Mandela alitangaza kwa taifa kuwa mwanawe wa kume alifariki kutokana na ugonjwa wa Ukimwi.
Na wakati mwingine unaweza kufikiri kwamba ni south africa pekee ndio wamekumbwa na msiba huu mkubwa, Kumbe ni dunia nzima na kila mtu amejaribu kuelezea kwa jinsi alivyomfahamu. Kiongozi Huyu Shupavu na aliyeacha jina kubwa Duniani na Historia kwa Bara la Afrika na watu wake.
Kupitia akaunti za mastaa kibao kutoka duniani wametweet hivi mara baada ya kupokea taharifa juu ya umauti uliomkumba Nelson Mandela
Soma Tweet Hizi hapa Chini...
No comments: