» » New Music: Mase Ft Her – Why Cant We

Sikiliza hapa wimbo mpya kutoka kwa Rapper Mase ambaye  mbali na kuimba pia ni mchungaji wa kilokole, ameachia ngoma inaitwa ‘Why Can’t We’ ambao upo kwenye album yake mpya iitwayo ‘Now We Even,’ ambayo haijulikani itatoka lini.


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply