Chuck Norris Atoa salam za kipekee katika kipindi hiki cha merry cristmas ni kwa njia ya video inayomuonesha amesimama katikati juu ya mabawa ya ndege mbili, huku juu ya kichwa chake kukiwa na wanajeshi 11 wanaounda mfano wa mti wa Christmas.
Hii ndio Parody ya Chuck Norris, Je Ubunifu Huu Alioufanya Chuck Norris na Timu yake Unauonaje Unauonaje?
No comments: