01. Kama anaweza kufikiria kwamba wasichana wengine ni wazuri
Tunapenda sana kusafisha macho. Tunaweza kuona demu mzuri anapita na tukamkubali lakini haimaanishi hatuwapendi au hatuna furaha. “Nashangaa watu kibao wanamuona yule demu mkali but me hata sioni kitu” , hii ndio gia ambayo tunadanganyia.
02 .Mnapoenda kuhang out
Pale unaposema twende movies au beach tutaenda na tunafurahi sana japokuwa hatuwezi kukubali.
03.Utazamaji wa Porn Movies
Hii kitu ni private. wengi huficha movies hizi kwenye folders ambazo inabidi uingie kama mara ishirini kuipata na wengine kudelete internet history.
04. Kama anapata texts kutoka kwa ex-girlfriends
Sio kwamba tunahisi kuwa na hatia au kutaka kujibu ujumbe huu,lakini inapotokea hali hii hua tunaficha ujumbe huu sababu its not worth it kuileta mada hii.
05. Aina ya muziki Anaosikiliza
labda ni ile playlist aliyokupa your ex-girlfriend au ni zile nyimbo za kike unazozipenda lakini unaogopa watu kujua kwamba unazisikiliza.
06. Idadi ya wasichana Aliokuwa nao
Hiki ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye anatakiwa kumuuliza mtu mwingine. Kila mtu anahofia idadi yake itakua kubwa sana au ndogo sana.ni vyema kukaa na hiyo idadi kwenye moyo wako sababu italeta fujo ikitamkwa.
07. Kuwa emotional
tumekua wazuri katika kuficha hisia zetu. Inabidi kuelewa tukisema “nakupenda” au “umependeza” inakua imetuchukua ujasiri mkubwa kusema hivyo.
No comments: