Habari kwa Ufupi :

    3:00
» » » Huyu Ndiye Mpenzi wa Ali kiba ..ni Mrembo na Anavutia kiukweli

Ally Kiba anaweza kuwa hasikiki sana kwenye redio miaka ya hivi karibuni na humsikii akilalamika. Huenda mrembo huyu anaweza kuwa sehemu muhimu katika moyo wake na hivyo kumfanya azisahau stress za mainstream .



Mkali huyo ambaye hivi karibuni alikuwa Nairobi kurekodi collabo yake na Redsan, amepost picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hakuna shaka kuwa ni ubavu wake wa pili.

So sweat and Lovely  kwao..

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
First Lady wa Ufaransa alazwa hospitali kufuatia taarifa kuwa Mumewe ambaye ni Rais Hollande ana mwanamke mwingine
»
Previous
Jux Amtakia Jack Patrick Happy Birthday Njema Katika siku ya kuzaliwa kwa Jack Patrick

No comments:

Leave a Reply