» » » Music: Shilole - Chuna Buzi

Baada ya “Kukomaa na Jiji”, Shilole anakuja tena na hii…“Chuna Buzi” ndiyo ngoma mpya ambayo msanii huyu ameidondosha siku ya leo. Track hii imefanywa na Mazuu



Sikiliza hapa chini na Download pia...



Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply