Inasemekana hawa ndio Mastaa wa kibongo waliowazidi umri wapenzi wao

Unknown Tuesday, June 24, 2014 0

Mara nyingi tunaishia kusikia rumors tu, kuwa msanii fulani amemzidi umri mpenzi wake na mara nyingi mwisho wa siku rumors zinabaki rumors t...

Shilole afunguka kuhusu Nuh Mziwanda kujichora tattoo yenye jina lake ‘Ni mapenzi tu na Mimi nikiamua Nitachora’

Unknown Thursday, June 12, 2014 0

  Baada ya Nuh Mziwanda kuamua kuchora tattoo isiyofutika ya jina la malkia wake wa moyo Shilole aka ShiShi Baby , masbabiki wengi walitoa...

True Love au? Nuh Mziwanda ajichora tattoo yenye jina la Shilole ‘Shishi Baby’

Unknown Tuesday, June 10, 2014 0

Sio mara ya kwanza kwa msanii wa kiume kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake, Hii imetokea kwa Nuh Mziwanda ambaye ameamua kudhihirisha...

Picha: Shilole kipindi akiwa Binti mdogo.! alikuwa hivi

Unknown Wednesday, April 9, 2014 0

Kupitia ukurasa wake wa instagram mwanadada Shilole a.k.a Shishibabye ameshare picha inayomuonyesha akiwa kijijini igunga katika umri mdogo....

Huyu ndiye Mpenzi mpya wa Shilole,Ni Chipukizi katika BongoFleva

Unknown Thursday, March 27, 2014 0

Staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayech...

Video: Shilole - Chuna Buzi (Explicit)

Unknown Monday, March 24, 2014 0

Itazame hapa video mpya kutoka kwa Shilole,wimbo unaitwa 'Chuna Buzi',Video imeongozwa na director Nisher Shilole - Chuna Buzi (Expl...

Picha: Alichokifanya Director Nisher katika Chuna Buzi ya Shilole

Unknown Friday, March 21, 2014 0

Sasa ikiwa ni wiki mbili toka tushuhudie video ya pili kwa mwaka huu (2014) kutoka kwa director Nisher wa Arusha, ya wimbo wa msanii mpya Ba...

Shilole Kuolewa na Nuhu Mziwanda,waweka wazi uhusiano wao wa Kimapenzi uliokuwa siri

Unknown Wednesday, March 5, 2014 0

Shilole na Nuhu Mziwanda wameamua kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi na kudai kuwa wapo tayari kufunga ndoa. Akizungumza na U heard ya XX...

Shilole awashangaa wasichana wasiopenda kuvaa nguo za ndani kwa kisingizio cha joto mjini.

Unknown Sunday, February 23, 2014 0

Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa huwa anawashangaa wasichana wasiopenda kujisitiri kwa kuvaa nguo za...

Music: Shilole - Chuna Buzi

Unknown Friday, January 31, 2014 0

Baada ya “Kukomaa na Jiji”, Shilole anakuja tena na hii…“Chuna Buzi” ndiyo ngoma mpya ambayo msanii huyu ameidondosha siku ya leo. Track hii...

VIDEO: ALICHOKIFANYA SHILOLE NCHINI UINGEREZA KATIKA SIKU YA CRISTMASS

Unknown Thursday, December 26, 2013 0

Tazama video ya alichokifanya shilole uingereza katika siku ya cristmas alitoa shoo ya nguvu full mauno mwanzo mwisho, Chukua muda wako wa k...

Picha: Tazama picha za shilole akiwa na AT nchini Uingereza walipoenda kupiga Show

Unknown Thursday, December 19, 2013 0

Hivi karibuni Mwanadada wa miondoko ya Mduara Nchini Shillole  a.k.a Shilole Kiuno pamoja na Msanii Mwenzake wa Kiume AT wako Nchini Uingere...

New Music: Shilole - Usinikate Mood

Unknown Thursday, December 12, 2013 0

Sikiliza na Download Wimbo Mpya Kutoka kwa Mwanadada Shilole hapa Chini,Wimbo Unaitwa Usinikate Mood..Kazi Kwazo.

"Nimeshatumia Mpaka Ssas Miliion 60 katika Ujenzi wa Nyumba yangu" Shilole Afunguka

Unknown 0

Msanii wa muziki na filamu Shilole, amesema kuwa mpaka sasa hivi ametumia kiasi cha kati ya shilingi milioni 45 mpaka 60 katika ujenzi wa ny...

NEW VIDEO: SHILOLE -NAKOMAA NA JIJI [OFFICIAL VIDEO]

Unknown Saturday, November 9, 2013 0

Hii ndio Ile Video ya Mwanadada Shilole Inayokwenda kwa jina la "NAKOMAA NA JIJI" Iliyoshutiwa na kuongozwa na Nisher,  pata mud...

KITU ULICHOKOSA KUTOKA INSTAGRAM: BAADA YA SHILOLE KUANDIKA KINGEREZA FEKI ,HAYA NDIYO ALIYOYAPATA

Unknown Friday, November 8, 2013 0

Shilole  aliamua kutandika yai kwenye Instagram, ili kuzipa uzito shukrani zake za dhati kwa muongozaji wa video yake ya ‘ Nakomaa na Jiji ’...

SHILOLE AZIDI KUWAPAGAWISHA MASHABIKI WA FIEASTA

Unknown Saturday, October 5, 2013 0

Usiku wa kuamkia jana ilikuwa ni dhamu ya tamasha la fiesta Mjini Tanga.....Kama kawaida yake mwanadada Shilole hakosi vituko ....Safiri hii...

Shilole amkumbuka Marehemu Sharo Milionea

Unknown Tuesday, July 30, 2013 0

Leo kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii, mwigizaji na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya anayehit na ngoma mpya " Nakom...

Shilole matatani kwa kupotea na simu alizopewa amletee diamond platnumz toka Afrika Kusini.

Unknown Wednesday, July 24, 2013 0

STAA wa filamu na muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameingia matatani akidaiwa kuingia mitini na simu tatu za mkononi alizope...

Shilole ndani ya beef la "kifo" na Sintah, kisa? Soma hapa

Unknown Monday, July 22, 2013 0

Mwigizaji wa bongo movies na mwanamuziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamedi ama shilole ameingia katika beef la hatari na mwigizaji, blogger na...