Habari kwa Ufupi :

» » » True Love au? Nuh Mziwanda ajichora tattoo yenye jina la Shilole ‘Shishi Baby’

Sio mara ya kwanza kwa msanii wa kiume kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake, Hii imetokea kwa Nuh Mziwanda ambaye ameamua kudhihirisha upendo wake kwa Shilole kwa kujichora tattoo yenye jina la msanii huyo wa ‘Nakomaa na Jiji’.

“Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??,”
 ameandika kwenye picha aliyoiweka Instagram.


Naye Shilole alijibu: Thankx my lv 4 dis! Umeonyesha lv ya ukweli.


Tazama picha zaidi shilole na NuH Mziwanda wakiwa pamoja na Tattoo alizochora Nuh Mziwanda



Hapa Nuh Mziwanda anakuuliza "kwani dhambi kumpenda sana mtu anaekupa furaha?.#msondongoma

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Video : Huyu ndiye mwanamke aliyefanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin
»
Previous
Video: Hivi ndivyo Performance ya Diamond na Davido ilivyokuwa katika MTV Mama Awards 2014

No comments:

Leave a Reply