Habari kwa Ufupi :

» » » Picha: Tazama picha za shilole akiwa na AT nchini Uingereza walipoenda kupiga Show

Hivi karibuni Mwanadada wa miondoko ya Mduara Nchini Shillole  a.k.a Shilole Kiuno pamoja na Msanii Mwenzake wa Kiume AT wako Nchini Uingereza walikoenda kutoa Burudani na kuzikonga nyoyo za mashabiki wao wa mduara walioko huko.

Kama wewe ni shabiki wa Shilole na unamfuata Instagram, sina shaka umeshakutana na picha ya hivi karibuni akiwa katika mazingira ya ughaibuni. 
Hizi Ndizo Picha Baadhi walizopiga kipindi wakiwa Nchini Uingereza




Hii Ndio Flayers Inayoongelea Shoo Yao ya Nchini Uingerza



Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Mkalimani aliyeugua Gafla Kwenye kumbukumbu ya Mandela Wakati Akiwa anatafsiri Alazwa katika Hospitali ya Magonjwa ya Akili
»
Previous
Redsan na Ali Kiba warekodi wimbo pamoja kwenye studio za Homeboyz

No comments:

Leave a Reply