Habari kwa Ufupi :

    3:00
» » » Redsan na Ali Kiba warekodi wimbo pamoja kwenye studio za Homeboyz

Ali Kiba na Redsan wameingia studio kupika wimbo pamoja.Wakali hao wamerekodi wimbo wao kwenye studio za Homeboyz Records jijini Nairobi Kenya. Producer wa wimbo huo, Sappy ameshare picha akiwa na mastaa hao.

“New single from Alikiba & Redsan coming soon…Maaaade tune…produced by Me,” ameandika Sappy.

Redsan, Sappy na Ali Kiba


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha: Tazama picha za shilole akiwa na AT nchini Uingereza walipoenda kupiga Show
»
Previous
Kaa tayari Kusikiliza Ngoma Mpya Kutoka Kwa Linex Aliyomshirikisha Ommy Dimpoz Pamoja na Recho

No comments:

Leave a Reply