» » » New Music: Mrisho Mpoto – Waite

Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa Mrisho Mpoto maarufu kama Mjomba ameamua kuanza mwaka kwa kuwabariki fans wake na ngoma yake aliyoifanya ndani ya studio yake mwenyewe iliyopo maeneo ya Kinondoni Mkwajuni jijini Dar es salaam.

Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la ‘Waite’ ikiwa imefanywa ndani ya ‘Waite Records’ chini ya Producer Alan Mapigo. Ni Stduio Mpya na  itakuwa inafanya muziki wa aina zote.

Susikilize Hapa Chini....


Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Hatimaye Alicia Keys Kumaliza Mkataba Wake Na Kampuni Ya Simu Ya Blackberry
»
Previous
Picha : Msanii wa Muziki Jaguar wa Nchini Kenya Ajimiksi na wafungwa, Kuwashangaza Wengi ni Katika 'Kioo'

No comments:

Leave a Reply