Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM F
» » » Picha : Msanii wa Muziki Jaguar wa Nchini Kenya Ajimiksi na wafungwa, Kuwashangaza Wengi ni Katika 'Kioo'


Picha hizi zimezua mshtuko kwenye internet kwamba Jaguar ameshikiliwa na polisi na kuwekwa jela?
jibu lake ni NO, anajiandaa tu kutoa kazi mpya inaitwa “Kioo”.

Unaambiwa alijichanganya kwenye jela ya ukweli kabisa na kukaa na wafungwa wanaotumikia vifungo kabisa ili kupata uhalisia wa atakachokionyesha kwenye video ambapo hata hivyo Wafungwa wa hii jela walifurahi kumuona.



          Akizungumza Machache na Baadhi ya waqafungwa 


 Hapa Akiwa Pamoja na Wafungwa

Hapa Akila chakula pamoja na wafungwa 

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
New Music: Mrisho Mpoto – Waite
»
Previous
Magazetini Leo Jumamosi ya Tarehe 4/1/2013

No comments:

Leave a Reply