Habari kwa Ufupi :

    3:00 PM F
» » » Picha: Jaguar alitua Dar na ndege yake binafsi ‘Air Jaguar’

Msanii wa Kenya Jaguar alitua Dar es salam hivi karibuni kufanya promotion ya wimbo wake mpya ‘Kioo’ kwa kutumia usafiri wake binafsi wa ndege ‘Air Jaguar’

Air Jaguar’


Mbali na muziki Jaguar pia ni mfanyabiashara mkubwa Kenya anayemiliki magari ya kifahari pamoja na nyumba.

Picha za ndege ya jaguar pamoja na baadhi za picha alizopiga na wasanii wa Tanzania.

Jaguar akiwa na Ommy Dimpoz
Jaguar akiwa na Chidi Benzi

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha: Diamond atimiza ahadi ya kuwasomesha watoto walioshinda katika shindano la Ngololo, awapelea kuanza International School
»
Previous
Hiki Ndicho Alichokisema Rais Barack Obama Kuhusiana na Bangi...

No comments:

Leave a Reply