Habari kwa Ufupi :

» » » Picha: Rihana anamiliki Jumba Lenye Thamani ya $ 12Millioni, Tazama Picha 20 za Jumba Hilo Hapa

Tunakuletea Picha 20 za Jumba la kifahari analomiliki mwanamuziki wa Marekani Rihana naayehit na Nyimbo nyingi kama Shine Like Diamond, Man Down na zinginezo nyingi anamikili jumba lenye thamani ya dolla za kimarekani milion 12,Jumba hili ni kama Hotel kwani akuna kitu ambacho kimekosekana katika jumba la mwadada huyu..

Tazama Picha hizi hapa chini...

























Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
New Music: Amin - November or December
»
Previous
Video: Joakate Katika Movie Mpya 'Mikono Salama' Ndani kuna mastaa kibao kama 'JB , Irene Uwoya, Rich n.k

No comments:

Leave a Reply