Habari kwa Ufupi :

» » » » Video: Joakate Katika Movie Mpya 'Mikono Salama' Ndani kuna mastaa kibao kama 'JB , Irene Uwoya, Rich n.k




okate, Jacob Stephen, Irene Uwoya, Single Mtambalike, Adam Kuambiana, Stela Mjata, Mzee Ibrahim, Hashim Kambi na Bi Star...hebu tuache masihara jamani, kuna jina la star gani ambalo halipo hapo? Kuanzia wale wa kizazi kileee, hadi hiki cha sasa?

Vichwa hivi adhimu, vinakutana katika mzigo huu unaokwenda kwa jina la Mikono Salama. Tunajua hali ilivyo katika magereza zetu nyingi nchini, sasa inakuwaje mtu ajihisi yuko salama wakati yuko gerezani? Kwanini hasa iwe hivyo? Onja uhondo hapa wakati unasubiri mzigo kamili kushuka hivi karibuni

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Picha: Rihana anamiliki Jumba Lenye Thamani ya $ 12Millioni, Tazama Picha 20 za Jumba Hilo Hapa
»
Previous
Baby Madaha na Kampuni yake walamba dili ya hela nyingi sana na kubwa zaidi

No comments:

Leave a Reply