“Utangazaji nilianza 1999……..Loooooooooong Tym for five years …Am proud nilipitia mengi mpk Leo hii nikikaa nikafikiriA kazi nilizopitia huwa najiskia raha sana!!but right now Music is in my blood thou ninaweza Amua kufanya Music n have my own show on Tv n Radio!!!!!wat do u think guys nifanye yote kwa pamoja au,” amehoji muimbaji huyo kupitia Instagram.
Ray C anaomba Ushauri wako . 'Acha ushauri wako kupitia Comments'.
No comments: