Itachukua miaka mitatu kabla ya filamu hiyo kuoneshwa kwenye TV na ikianza itaoneshwa kwenye kituo hicho cha OWN.
Mtangazaji huyo maarufu aliyehudhuria mazishi ya Mandela huko Qunu, alinunua haki hizo kutoka kwenye kampuni ya The Weinstein Company (TWC).
Filamu hiyo inadaiwa kuwa ya gharama zaidi nchini Afrika Kusini na tayari imetajwa kuwania tuzo kibao.
No comments: