Mh Filremon Mbowe akiongea na waandishi wa habari muda mchache baada ya kuachiwa kwa dhamana baada ya kukamatwa leo asubuhi na kuhojiwa kwa kosa la kuzidisha muda wa mikutano iliofanyika jana
wakiwa na viongozi wenzake Mch Peter Msigwa (Mb) na Mh Halima Mdee (Mb)
Mh Filemon Mbowe akiwaaga wananchi wa Iringa manispaa waliokuwepo viwanja vya Mwembetogwa kabla ya kuondoka na Chopa.
Mh Halima Mdee na Mch Peter Msigwa (MB0 wakiwapungia mikono wananchi waliofika wakati wanaondoka Iringa kuelekea Morogoro kwa Chopa.
Wapenzi na wanachama wa Chadema wakiangalia viongozi wakijiandaa kuondoka viwanja vya Mwembetogwa manispaa ya Iringa.
Image Credit:Mnyali
No comments: