» » » Kaa tayari kwa Mdundo mpya Mwana Fa ft G-Nako Nah Real Kumaliza kazi

Ni kwa muda mrefu sasa Mwanamuziki wa BongoFalvour Mwana Fa Amekuwa akimkubali sana G- Nako katika swala zima la Kukamata Chorus na kuzifanyia vilivyo yaani jinsi inavyotakiwa

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

Sasa Mwana FA ametimiza nia yake ya kumshirikisha  G-Nako katika mdundo mpya amabao G-Nako atatumika katika kumba Chorus huku Mpango mzima wa Beats ukisimamiwa na Mkali wa Beats Producer Nah Real




Mwana FA anayehit na Ngoma yake ya ‘Kama Zamani’, Jumanne hii aliingia studio kurekodi wimbo aliomshirikisha mkali huyo wa kundi la Nako 2 Nako 2 Nako.

“Hii ya jana usiku…feat GNako mkono wa Nahreel…nakuhakikishia tafrani inakuja,” ameandika FA kwenye picha akiwa na wawili hao aliyoiweka Instagram.

Tunaomba Maoni yako Hapa :

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply