Wimbo huu umetayarishwa na P-Funk Majani kwenye studio za Bongo Records na utakaoachiwa Ijumaa hii, una lengo la kulihamasisha bunge la katiba mpya kuingiza suala la sanaa na haki za kazi za kiubunifu (Intellectual Property) kwenye katiba hiyo.
Usikilize na kuudownload hapa Chini...
No comments: